Yakobo 3:17-1817๐ Lakini hekima itokayo juu, kwanza ni safi, tena ni ya amani, ya upole, tayari kusikiliza maneno ya watu, imejaa rehema na matunda mema, haina fitina, haina unafiki. 18 ๐ Na tunda la haki hupandwa katika amani na wale wafanyao amani.
http://dlvr.it/T55V84
Categories
You must be logged in to post a comment.